Sokwe Shaka

by Sam Mbure


Bwana Goran, mkewe Mei na mtoto wao Annelie wamekuja kuitembelea nchi ya Kajato kama watalii. Nia ya safari yao ni kujionea mbuga za wanyama za Kajato zinazosifika duniani kote. Lakini katika Mbuga ya Wenapasa watakutana na mnyama ambaye hawatamsahau. Shaka ni sokwe ambaye anawasisimua wote wanaoitembelea mbuga hii ya Wenapasa...

ISBN: 97889966471369 SKU: 2010143000006
KES 246
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect