Safari ya Ushindi

by H Mogambi


Safari ya Ushindi ni hadithi inayopatikana katika mfululizo mpya wa hadithi za Kiswahili za Nasaha Zetu zinazochapishwa na KLB. Hadithi hii ya kusisimua inawalenga wanafunzi wa darasa la nane.Maria alikomoa safari ambayo kweli hatima yake aliijua yeye. Safari yenyewe ikawa ya vikwazo. Umri wake ungemnyanyasa lakini wapi, hakufa moyo. Wahenga kweli walinena; penye nia pana njia. Je, Maria na wenzake waliweza?

ISBN: 2010143000556 SKU: 2010143000556
KES 293
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect