Usifuge Kobe

by Lewela


Vitabu vya Nyota vimetungwa kwa lengo la kuwawezesha wanafunzi katika Afrika Mashariki kujifunza lugha ya Kiswahili. Lugha iliyotumiwa ni ya kuvutia na hadithi ni za kuburudisha. Kileri ni mwanafunzi shupavu. Yeye huchukua nafasi ya kwanza katika darasa lake. Jambo hill linamkera sana Mwairiso, ambaye huchukua nafasi ya mwisho. Mwairiso anajawa na wivu. Anapanga njama ya kumwangusha Kileri. Mpango wa Mwairiso, unaendelea vizuri hadi unapogunduliwa na kutibuliwa. Soma kisa hiki ujue vile vi Jana wanaweza kubadili maisha yao.

ISBN: 9789966255214 SKU: 2010143000401
KES 307
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect