Sungura na rafikize Wavivu


Paukwa Pakawa ni mfululizo wa visa, mikasa na ngano zilizotungwa ili kuwapa watoto wanaochipuka katika mafunzo, 
chanzo chema. Lugha imerahisishwa na matukio yamepewa msisimuko utakaowafurahisha watoto wote wa nasari, hadi darasa la 
pili, huku wakijimudu katika kuifahamu lugha ya Kiswahili.
Sungura na Rafikize wavivu ni hadithi inayosimulia jinsi Sungura alivyopambana na marafiki zake wazembe na mwisho kutengana nao.
 

ISBN: 996625160x SKU: 2010143000564
KES 307
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review