Spotlight Kurunzi ya Kiswahili Mwalimu Grade 8

by Spotlight


Kurunzi ya Kiswahili Mwongozo wa Mwalimu Gredi ya 8 ni mwongozo ulioandaliwa kuzingatia mahitaji ya Mtaala wa Kiumilisi wa Gredi ya 8. Mwongozo huu utamwezesha mwalimu kuongoza mchakato wa kufundisha stadi za Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Kuandika na Sarufi kwa njia inayoafiki kiwango cha mwanafunzi.

ISBN: 9789966573841 SKU: BK00000010652
KES 999
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect