Made Familiar: Sherehe Maalumu Level 7

by Made Familiar


Wakazi wa Kaunti Ndogo ya Makongeni wanaamka na habari ya kushtua. Mvulana mwingine ametekwa nyara. Visa vya kupotea kwa watoto katika eneo hili vimeongezeka. Nasibu na wapelelezi chipukizi wenzake wanaamua kufanya uchunguzi ili kubaini aliko Wema Hudumu, rafiki yao aliyetoweka. Wasilojua ni kuwa kijana huyu ametekwa nyara na walanguzi wa dawa za
kulevya. Je, vijana hawa chipukizi wataweza kuvunja mtandao wa ulanguzi wa dawa za kulevya ambao unajumuisha watu wenye vyeo na mamlaka katika jamil?

Kitabu hiki kinalenga kuwahamasisha vijana kuhusu madhara ya dawa za kulevya na jinsi ya kukabiliana na uraibu wa dawa za kulevya. Vilevile, kinakuza maadili na umilisi kama vile uwazaji kina, utatuzi wa migogoro, ubunifu, upendo na umoja Jinsi ilivyopendekezwa katika mtaala wa Umilisi.

ISBN: 9789914997514 SKU: BK00000011213
KES 375
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review

Products you recently viewed