Dhambi Isiyofutika

by Mkufya


Katika tamaduni za jamii mbalimbali sa i za za Africa kuna vyakula aina aina vinavyoliwa. Baadhi ya jamii hula kumbikumbi, nyingine nzige na nyingine funza. Ginga anapoandaliwa kitoweo cha funza, anaishtaki njaa kwa mmego wa matonge ya sima lakini hajui kwamba kitoweo chake kimetokana na funza mpaka anapochota kichwa chekundu cha funza kutoka bakulini. Kigegezi kinachomkabili kinamkosesha hamu ya kitoweo cha nyama mpaka wazazi wake wanapogundua kusononeka kwa mwanao na kumpa nasaha. Kumbe funza ni akiba wakati wa shida!

ISBN: 9966363122 SKU: 2010143000566
KES 255
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect